Nafasi Ya Matangazo

October 02, 2011

 Wadau mbalimbali wa kiangalia mtanange wa Chelsea na Bolton Live katika banda la Castle hapa Lidaz Klabu kwenye tamasha kubwa la Bia ya Kilimanjaro 2011.
 Mdau wasoka maarufu na kocha wa mpira wa miguu ambaye pia ni mtangazaji wa kipindi cha michezo 88.4 Clouds FM Maestro (kati) akiangalia mpira huo.
 Kochga wa Dunia Muumini Mwinjuma si mziki tu lakini hata soka analipenda na hapa nae alikuwaakilifuatilia gozi la Ng'ombe likipigwa huko majuu.
mashabiki wa soka wakifuatilia mchezo huo ambao hadi naingia mtamboni Boltoni ilikuwa mbele kwa kuokota mpira golini kwake mara 5 na Chelsea ikiokota mpira mara 1 langoni mwao. Mpira ni kipindi cha pili na Bolton wanaonekana kubadilika vikali. Hapahapa Castle pia utaona pambano kati ya ARSENAL V/s TOTERNHARM katika uwanja wa 
White Hartland Northern London. Kubwa katika mchezo wa leo ni mkongwe Lampard amepiga goli 3 peke yake.
Posted by MROKI On Sunday, October 02, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo