Nafasi Ya Matangazo

September 05, 2011

 Baadhi ya wanafunzi wa darasa la  pili wa shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga  jijini Dar es Salaam wakitoa heshima ikiwa ni ishara ya heshima ya kuwaaga  wahitimu wa kidato cha saba katika shule hiyo ilyofanyika mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wahitimu darasa la saba (7) katika shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi katika hafla hiyo.
Baadhi ya walimu wa Shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye hafla ya mahafali ya Saba (7) katika shule hiyo.
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la sita wa shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakiongozwa na muongoza kwaya kuimba wimbo wa kuwaaga na kuwapongeza wahitimu wa kidato cha saba katika shule hiyo hapo jana.
Posted by MROKI On Monday, September 05, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo