Nafasi Ya Matangazo

September 27, 2011

Nachukua fursa hii rasmi kukuombeni kuwataarifu wasomaji wangu kuwa jina la mtandao wao wa "FUELS THE FUTURE"  limerekebishwa kidogo  kutokawww.rajabuhm.blogspot.com na kuwa http://fuelfuture.blogspot.com
 
Uamuzi huu umekuja  kwa lengo la kuuboresha mtandao huu ili ujikite ktk nyanja za kimataifa zaidi na pia baada ya  kubadili management ya mtandao mzima ambapo mkurugenzi wake atajulishwa hapo baadae.
 
Kwa sasa bado tupo kwenye  hatua za mwisho za matengenezo kwa kushirikiana na Da  Subi .Kwa wasomaji wetu tunaomba mtumie anuani hii na tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.
 
Wenu Kny.Mkurugenzi
 
Stockholm
Sweden
 
Posted by MROKI On Tuesday, September 27, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo