Nafasi Ya Matangazo

August 08, 2011

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikamata ndizi aina ya Fia ambayo inatoa mazao kwa muda wa miezi Tisa na asili yake  Mkoa wa Mbeya, katika maonesho ya mazao ya kilimo, nane nane huko Dodoma leo Agosti 8,2011.
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo alipotembelea sehemu mbali mbali katika maonesho ya kilimo nane nane huko Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwahutubi wananchi katika kilele cha sherehe za wakulima nane nane huko Dodoma.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwahutubi wananchi hao katika kilele cha sherehe za wakulima nane nane huko Dodoma
Posted by MROKI On Monday, August 08, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo