Nafasi Ya Matangazo

August 21, 2011

Waziri wa Viwanda na  Biashara Dr. Cyril Chami akizungumza na wajumbe wa Bodi mpya ya NDC. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NDC, Mh. Dr. Chrisant Mzindakaya, akifatiwa na 
Prof. Idris Kikula.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Cyril Chami akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa bodi mpya ya NDC na Menejimenti ya NDC. Waliosimama mbele kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa NDC Gideon Nasari akifatiwa na Lucy Sondo, Mh. Dr. Chrisant Mzindakaya na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Joyce Mapunjo.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Cyril Chami akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Ms. Joyce Mapunjo, wakwanza kushoto kwa Waziri akiwa na Wakurugenzi wapya wa Bodi ya NDC. Kushoto kwa Waziri Dkt. C.M. Mzindakaya (Mwenyekiti wa Bodi),
Posted by MROKI On Sunday, August 21, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo