Nafasi Ya Matangazo

August 25, 2011

Meneja Mauzo wa Airtel Kitengo cha Wateja wa Makampuni, Babra Arnest (kushoto) akishikana mikono na mmoja wa wateja wa kampuni hiyo ambaye pia ni mbunifu mashuhuri wa mavazi nchini, Mustafa Hassanali katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel  kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam juzi. Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Sam Elangalloor akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam juzi.
Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam juzi.
 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Sam Elangalloor (katikati) akibadilishana mawazo na mmoja wa wateja wa kampuni hiyo, Emily Riwa (kulia) katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel  kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Airtel, Perece Kirigiti.
Baadhi ya wateja wa makampuni wa kampuni ya Airtel wakichukua futari  katika hafla iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika  Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam juzi.
Posted by MROKI On Thursday, August 25, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo