Nafasi Ya Matangazo

August 24, 2011

Mratibu Msaidizi wa Maonyesho ya Sekta ya Magari, Dorice Malle (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam  jana kuhusu Maonyesho makubwa ya Sekta ya Magari na utoaji huduma yaliyoandaliwa na Vision Investiments na yatajulikana kama 'The Tanzania Automotive Festival 2011' yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 7 hadi 9 mwaka huu katika viwanja vya Posta Kijitonyama. Kutoka kushoto ni Mhadhiri wa Chuo cha Usafirishaji (NIT),  Aziz Mdimi, Mratibu wa Maonyesho hayo, Ally Nchahanga na Mkurugenzi wa Peter Garage, Peter Lyimo.
Posted by MROKI On Wednesday, August 24, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo