Nafasi Ya Matangazo

August 26, 2011

 Kutoka  kulia ni Eprahim Kibonde,Wasiwasi Mwambulamba pamoja na Arnod Kayanda.
 Timu ya Jahazi ya Clouds Fm inayofuraha kuwatangazia wadau wote wa
 Jahazi njia mpya na nzuri ya kutoa maoni wakati mijadala mbali mbali
 inapoendelea ndani ya Jahazi la Clouds Fm.

 Jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa kumi jioni hadi saa 1 (4pm-7pm).
 Kujiunga tuma Neno JAHAZI kwenda 15774 kushiriki na kushiriki Andika
 JAHAZI acha nafasi harafu andika maoni yako tuma kwenda namba 15774.

 NB: Huduma hii ni kwa mitandao yote ya simu na hakuna malipo ya aina
 yeyote ila yatatozwa.
Posted by MROKI On Friday, August 26, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo