Nafasi Ya Matangazo

March 01, 2011

 Mkuu wa Wilaya ya Monduli  Bw.Jowika Kasunga kushoto akishuhudia Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya kaskazini Nguvu Kamando akikata utepe kuashiria kwa makabidhiano  rasmi ya Jengo lenye madarasa mawili katika shule ya Sekondary ya wasichana ya  Irkisongo iliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha, lililojengwa na Vodacom Foundation kwa thamani ya shilingi Milioni 30,kulia Mkurugenzi Mawasiliano wa mfuko huo Mwamvita Makamba.
 Mkuu wa Wilaya ya Monduli  Bw.Jowika Kasunga  pamoja na Mkurugenzi  wa Mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba kulia wakifunua jiwe la msingi kuashiria makabidhiano rasmi ya jingo lenye madarasa mawili yaliyojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation katika shule ya Sekondary  ya wasichana ya  Irkisongo iliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kwa thamani ya shilingi Milioni 30.
 Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondary ya wasichana ya  Irkisongo iliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha,Happiness Nyange kulia akimwelezea jambo Mkurugenzi wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba mara baada ya kukabidhi msaada wa jengo lenye madarasa mawili yenye thamani ya shilingi Milioni 30,yaliyojengwa na Vodacom Foundation.
Mkurugenzi mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akipongezwa na wanafunzi wa shule ya Sekondary ya Irkisongo iliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha baada ya Mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom kukabidhi msaada wa Jengo lenye madarasa mawili yenye thamani ya shilingi  Milioni 30.
Posted by MROKI On Tuesday, March 01, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo