Nafasi Ya Matangazo

March 01, 2011

 Baadhi ya wafanyakazi wa Precision air wakipasha kabla ya kuanza  mbio za Vodacom  5KM Fun Run zilizofanyika mwishoni mwa wiki mjini moshi,huku mlima wa Kilimanjaro  ukionekana vizuri sana na uliwavutia watalii wengi waliohudhuria mbio hizo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja udhamini wa Precision Air Emillian Rwejuna wapili toka kulia,wakati wa mbio za Vodacom  5KM Fun Run zilizofanyika mwishoni mwa wiki mjini moshi,huku mlima wa Kilimanjaro  ukionekana vizuri sana na uliwavutia watalii wengi waliohudhuria mbio hizo.
Posted by MROKI On Tuesday, March 01, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo