Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2011

 Mwanamke kutoka jamii ya wafugaji ya Kimaasai waishio kijiji cha Mabwegere Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro akimnywesha mtoto wake maziwa kwa kutumia kibuyu cha asili.
 Maziwa haya mara nyingi huwa ni mabichi kama yalivyokamuliwa kutoka katika ng'ombe.
 Akina mama wa Kimaasai wakiwa na watoto wao.
Mtoto wa Kimaasai akiwa anachezea kibuyu baada ya kunywa maziwa.
Posted by MROKI On Monday, February 28, 2011 2 comments

2 comments:

  1. nimependa ubunifu wao wa hicho kibuyu safi sana.

    ReplyDelete
  2. We Mroki we,

    Unatuwekea picha za wakina Mama za nini sisi hapa?

    Weka picha sa sile NDITO bana, we vipi wewe!?!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo