Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2011

Jumla ya warembo 45 ambao wanatarajia kushiriki shindano la kumtafuta Miss Utalii wa Tanzania mwishoni mwa wiki ijayo(5.3.2011) wakiwa katika picha ya pamoja jana jijini Dar es salaam baada ya kutambulishwa kwa waandishi wa habari na Rais wa Miss Utalii Tanzania Bw. Gideon Chipungahero. Mshindi wa shindano hilo anarajia kuondoka na mkataba wa milioni 150 ambao utajumuisha kusomeshwa katika Chuo Kikuu, Gari, fedha za kujikimu na nauli. Shindano hilo litafanyika wilayani Bagamoyo siku ya Jumamosi ijayo.
Posted by MROKI On Monday, February 28, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo