Nafasi Ya Matangazo

July 30, 2010

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda akiongea na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo leo jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine Bw. Seith Kamuhanda ametoa wito kwa watumishi wa umma kuepuka ubaguzi na upendeleo katika utoaji wa huduma.

Baadhi ya wajumbe wakichangia agenda mbalimbali zilizowasilishwa wakati wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo leo jijini Dar es salaam.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Seith Kamuhanda (wa pili kutoka kulia mstari wa kwanza) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 7 wa Baraza hilo leo jijini Dar es salaam.

Posted by MROKI On Friday, July 30, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo