Nafasi Ya Matangazo

May 29, 2010

Namna ambavyo amkazi ya watu huko katika moja ya miji ya Afghanistan inavyoonekana kwa mbali. Sasa twende nikitumbeze katika mji huo.
Umeona hii, haya ni mahandaki tu...

...yamechimbwa kwa ustadi mkubwa sana katika milima.
Hata Mzee mzima Osma huenda yupo katika moja ya mitaa hii lakini utampataje.
Mambo hayo sijui na sisi tuige kule usambaani au katika milima ya Uluguru na Rungwe.
Hii ni kama Palace vile maana ndani ya majengo hayo ndivyo kulivyo.
Wataalam wa uhakika walifanya kazi hii.
Hapa ni mtu mwenye uwezo mkubwa anaishi.

Posted by MROKI On Saturday, May 29, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo