Nafasi Ya Matangazo

April 18, 2010

Ni kweli habari ndo hii Simba 4 Yanga 3.
Mgosi akionesha jezi ya Yanga amempiku Ngasa katika ufungaji.Leo amepachika goli 2.
mashabiki wakifurahia gemu
Dah! Ishakuwa tabu hapa...
Mwakifulefule nae alikwepo...
...natamani kuvua hii kofia...
Watoto hawa nao walikuwepo...
Kila mkao ulikaliwa leo lakini wapi...
Eeeee kidedea popopo kidedea..
Mwamuzi alilaumiwa mara kwa mara
Mwenyekiti wa Simba Hassan Dalali akitoa ishara.
Wachezaji wakifurahia Kombe
Waamuzi walioongoza mchezo wa Simba na Yanga Aprili 18-4-2010

Posted by MROKI On Sunday, April 18, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo