Nafasi Ya Matangazo

March 21, 2010

Meneja Mauzo wa Zantel Rweyemamu Protace akizungumza wakati wa uzinduzi wa promosheni ya chomoka na vyombo mwishoni mwa wiki mjini Tanga. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Kampuni hiyo Mkoani Tanga Nassor Mbilikira, katika promosheni hiyo wateja wa Zantel wataweza kushindia vyombo vya nyumbani.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Tanga Kassim Kisauji, akizungumza wakati wa uzinduzi huo, katikati ni Meneja Mauzo wa Zantel Rweyemamu Protace na kushoto ni Meneja Mauzo wa Kampuni hiyo Mkoani Tanga Nassor Mbilikira, katika promosheni hiyo wateja wa Zantel wataweza kushindia vyombo vya nyumbani.
Posted by MROKI On Sunday, March 21, 2010 1 comment

1 comment:

  1. father kidevu tunashukuru kwa kutuhabarisha ila sahihisha kitu kimoja tanga sio manispaa,bali tanga ni jiji.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo