Nafasi Ya Matangazo

March 07, 2010

Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma Hawa Ghasia, akitoa hotua yake leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuitimisha matembezi ya akima mama katika kuadhimisha siku wa wanawake Duniani. Matembezi hayo yalidhaminiwa na kampuni ya Simu za mkononi ya Zain Tanzania.
Waziri wa nchi, ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, (wa pili kulia)akijumuika na wafanyakazi wa Kampuni ya Zain Tanzania leo jijini Dar es Salaam wakati wa matembezi ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Matembezi hayo yalidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania.
Waziri wa nchi, ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia, (wa pili kulia)akijumuika na wafanyakazi wa Kampuni ya Zain Tanzania.
Posted by MROKI On Sunday, March 07, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo