Nafasi Ya Matangazo

March 02, 2010

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akizungumza wakati wa shughuli hiyo.Meneja wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akigawa soda kwa watoto yatima waliohudhuria sherehe ya utoaji zawadi kwa vituo 36 vya yatima mjini Moshi.
Viongiozi wa Vodacom wakiwa na baadhi ya yatima katika zawadi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare akiwakabidhi msaada wa mafuta ya kupikia pamoja na mashine maalum za kuchujia maji ya kunywa wawakilishi wa watoto yatima zaidi ya 900 kutoka vituo vya Arusha na Kilimanjaro katika makabidhiano yaliyofanyika juzi mjini Moshi ikiwa ni sehemu ya misaada ya kijamii inayotolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation.Watoto ni watu ambao hupendana sana. Pichani yatima wa kituo cha Kili Kids wakiwa wamekumbatiana kwaajili ya kuopigwa picha.
Walezi wakiwa na moja ya zawadi za mashine maalum za kuchujia maji walizopewa na Vodacom kwaajili ya vituo vyao.
Watoto wakipiga picha ya pamoja na viongozi wa Vodacom waliohudhuria utoaji huo wa zawadi.
Posted by MROKI On Tuesday, March 02, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo