Nafasi Ya Matangazo

March 31, 2010

Zebedayo Naftari ambaye ni mwanachma wa Chama cha wachoma Chokaa Minazi Kinda Kigamboni Dar es Salaam wakipanga mawe ya kutengenezea chokaa katika tanuru jana kabla ya kulichoma.
Baadhi ya wanachma wa Chama cha wachoma Chokaa Minazi Kinda Kigamboni Dar es Salaam wakiendelea na shughuli ya kupakua tanuru la chokaa ambayo imeiva jana.
Posted by MROKI On Wednesday, March 31, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Father,
    asante sana kwa picha na maelezo. Sikuwahi kufahamu jinsi chokaa inavyotengenezwa hadi nilipoona picha hizi sasa napata 'idea'. Thx!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo