Nafasi Ya Matangazo

March 29, 2010

Hii ndo meza kuu ilivyopambwa.
Hili si jiko balio ni keki iliyotengenezwa maksusi kwaajili ya shughuli yenyewe.
zawadi zilikuwa kama hivi ambazo zilitoka kwa familia.
Baadhi ya wageni waalikwa walikuwa ni waheshimiwa.
Mawifi nao walikuwepo kusikia ni yepi mke wa kaka yao anafundishwa.
mambo ya kutakiana kila la heri hayo.
Hawa sio mamets bali ni wafanyakazi wenzake na biharusi mtarajiwa Halima Mbuso.
Hahaha hii inaruhusiwa kama mampambo mengine yanalika ruksa kuyala.
Picha zote na MD Digital Comapany 0755 373999/0717 002303 Dar es Salaam.
We offer Quality not Quantity
Posted by MROKI On Monday, March 29, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Yaani Kitchen party imepooza jamani jamani !

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo