Nafasi Ya Matangazo

February 04, 2010

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko, Joyce Mapunjo (kulia) akitia saini ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mradi wa kuwawezesha wafanyabiashara wadogo na wa kati uitwao 'Zain Biashara Community'Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Ofisa Biashara Mkuu wa Kampuni ya Zain,Chiruyi Walingo na Meneja Masoko wa Zain, Costantine Magavilla.
Baadhi ya wafanyabiashara ndogo na za kati, wakisikiliza wakatiKatibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko, Joyce Mapunjo (hayupo pichani) akihutubia wakati wa uzinduzi wa mradi wa kuwawezesha uitwao 'Zain Biashara Community' Dar es Salaam jana.
Posted by MROKI On Thursday, February 04, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo