Nafasi Ya Matangazo

February 05, 2010

Katibu wa Fedha na Uchumi wa CCM, Amos Makala akipiga tumba kuashiria uzinduzi wa vyombo vipya vya muziki vya kundi la Chama hicho TOT Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi wa TOT, Capt. John Komba pamoja na viongozi wa bendi hizo.
Wanamuziki wa TOT wakiwa katika makabidhiano hayo.
Makala (katikati) na Viongozi wa TOT Capt Komba na Hadija Kopa.
Baadhi ya vyo hivyo...
Hapa tena...
Hapa wanamuziki walionesha furaha yao. baada ya kupokea vyombo hivyo vyenye thamani ya sh milioni 100.
Posted by MROKI On Friday, February 05, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo