Nafasi Ya Matangazo

February 10, 2010

Rais Jakaya Kikwete(watatu kushoto) akiwa na waumini wengine wakiuombea mwili wa marehemu Rajabu Kianda aliyekuwa mnikulu muda mfupi kabla ya mazishi yake huko Kihurio Same Mkoa wa Kilimanjaro jana mchana.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Marehemu Rajabu Kianda aliyekuwa mnikulu huko Kihurio Same Mkoa wa Kilimanjaro.Rais Jakaya kikwete akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mnikulu marehemu Rajabu Kianda, huko Kihurio Same Mkoani Kilimanjaro jana mchana.Marehemu Rajabu Kianda alifariki jumapili iliyopita jijini Dar es Salaam baada ya kuugua shinikizo la damu na kupata kiharusi.
Posted by MROKI On Wednesday, February 10, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo