Nafasi Ya Matangazo

February 10, 2010

Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Jeshi Jitegemee, wakijadiliana jambo kabla ya kuingia katika chumba cha mtihani jana. Wanafunzi hao pamoja na wengine nchini kote wanafanya mitihani yao ya mwisho ya kihitimu kidato cha sita. Blogu ya watu inawatakia kila la heri na kama JKT ingekuwa tayari basi mkitoka tu katika mitihani mngekwenda kambini kupata mafunzo ya namna ya kuishi katika jamii kama tulivyofanya sisi mika ile.
Posted by MROKI On Wednesday, February 10, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo