Nafasi Ya Matangazo

April 08, 2009

Badhi ya wanachama wa Kampuni ya DECI (T) Limited wakishangilia na kusema hatokubali kampuni hiyo ifungwe na BoT kwani imewasaidia kuinua vipato vya familia zao. DECi inawanachama takriban laki saba nchi nzima na wanaonufaika zaidi na kampuni hiyo ya Vuna kadri ulivyo Panda ni watu wa kipato cha chini na kati. Wanachama hawa pia wamemuomba Rais Kikwete kuingilia kati maana DECi inawapa maisha bora kama ilivyo kaulimbiu yake ya 'maisha bora kwa kila mtanzania' kwa Tanzania yenye neema inawezekana.
Posted by MROKI On Wednesday, April 08, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo