Father Kidevu

KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.

September 15, 2026

e-ARDHI: SERIKALI YAONGEZA UFANISI KATIKA HUDUMA ZA ARDHI, RUVUMA

›
Na Jeston Kihwelo, Ruvuma Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kuchukua hatua za kisera na kiteknoloji...

DCC KATETY AWATAKA WATUMISHI WAPYA TFS KUISHI KAMA FAMILIA MOJA

›
Naibu Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), DCC Dkt. Hamza Katety, amewataka watumishi wapya kuishi kama timu n...

DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI

›
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wana...

RAIS MWINYI AONGOZA SALA YA BI MARYIAM

›
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameungana na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi kat...

JK ATOA POLE KATIKA MSIBA WA SHEMEJI YA MBUNGE MSTAAFU WA NKASI MHE. KEISSY MJINI TABORA

›
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete , amemtembelea na kumpa pole Mbunge Mstaafu wa Ji...

TAASISI YA OMDTZ YAWEZESHA KATA TANO KUWA NA MIPANGO YA KUKABILI MAFURIKO DAR ES SALAAM

›
Na Mwandishi wetu – Dar es Salaam Taasisi ya OpenMap Development Tanzania (OMDTZ) kwa kushirikiana na Serikali imeanza zoezi la kukabidhi Mi...

DKT KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YA TABORA KWA KUKAGUA MRADI WA JAMII SALAMA NA ZAHANATI YA KIJIJI CHA GENGESITA

›
  Muasisi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa JMKF, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongea na wanahabari na kutoa majumuisho ya...

MAFUNZO JKT MAKUTOPORA YAFUNGWA, MAPACHA WA MWANDISHI KIMELEMETA WAHITIMU

›
Wahiutimu wa Mafunzo ya vijana ya Kujitolea Op Nishati Safi pamoja na Op Linda Amani ( Mujibu wa Sheira) wakifanya gwaride lao maalum la ku...
‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.