Nafasi Ya Matangazo

July 03, 2026

 

Bohari ya Dawa (MSD) imezipingeza Hospitali za tufaa mkoa wa Morogoro, Hospitali ya Rufaa Temeke ya mkoani Dar es Salaam na Halmashauri ya Wilaya ya Mafia kwa kuvuka mwaka wa Fedha wa 2025/,2026 bila kuwa na deni MSD. 

MSD imetuma pongezi hizo kwa Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, Dkt. Daniel Joseph Nkungu, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke, Dkt. Mfaume Kibwana na kwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Mafia Ndg. Mussa Kitungi.



Posted by MROKI On Friday, July 03, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo