Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya
Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam mara baada ya kuwasili
Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 09 Juni, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na mgeni wake Rais wa Jamhuri
ya Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam
mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe
09 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Singapore,
Mhe. Tharman Shanmugaratnam akisaini Kitabu cha
Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe
09 Juni, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 09 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari
kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mheshimiwa Tharman
Shanmugaratnam, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe
09 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Singapore,
Mhe Tharman Shanmugaratnam akizungumza na
Waandishi wa Habari kufuatia Ziara yake ya Kitaifa Jijini Dar es Salaam, tarehe
09 Juni, 2026.




.jpeg)


.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)



0 comments:
Post a Comment