September 02, 2025

KUNJE WA AAFP AFANYA KAMPENI KISAKI, ASEMA ATADILI NA MAFISADI

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Mhe. Kunje Ngombale Mwiru akifanya kampeni Kisaki Morogoro.

Mgombea huyo aliyerambatana na viongozi kadhaa wa Chama hicho aliahidi pindi akichaguliwa atapambana na mafisadi ambapo ataagiza kufungwa kwa mipaka yote ii wahusika wasitoke nje. 
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for African Farmers Party (AAFP), Mhe. Kunje Ngombale Mwiru akifanya kampeni Kisaki Morogoro.

No comments:

Post a Comment