June 28, 2025

DKT TULIA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA UYOLE



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amechukua na kurudisha fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo jipya la Uyole mkoani Mbeya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Dkt. Tulia amechukua fomu hiyo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Mbeya mjini leo tarehe 28 Juni, 2025.

No comments:

Post a Comment