
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali
mara baada ya kuwasili Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia, tarehe
14 Aprili, 2025 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa
kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Pamoja na
mambo mengine pia Mhe. Rais Dkt. Samia atashiriki mkutano wa Baraza la Amani na
Usalama la Umoja wa Afrika
0 comments:
Post a Comment