December 02, 2024

RAIS SAMIA MTEUA BALOZI DKT.MPOKI ULISUBISYA KUWA DG MPYA MOI

Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya,  miongoni mwa nyadhifa ambazo amewahi kushika serikalini ni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Balozi wa Tanzania Nchini Canada.

Aidha, ni  Daktari Bingwa wa utoaji dawa za Usingizi na Maumivu nchini na alipata kufanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). 


No comments:

Post a Comment