Matukio
mbalimbali wakati wa kuaga mwili wa
aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya
Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee
Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwafariji
Wanafamilia wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la
Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya
Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za
mwisho kwenye jeneza lenye mwili aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi
Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile
katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na
Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu
cha maombolezo kabla ya kuongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge
wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu
Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe
02 Desemba, 2024.
Matukio
mbalimbali wakati wa kuaga mwili wa
aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya
Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee
Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.
No comments:
Post a Comment