Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Afisa wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Alfred Bwojo alipotembelea banda la NIC alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katikaUfunguzi wa Mkutano wa Tisa wa Mwaka wa Mtandao wa Wasimamizi wa Memeneja wa Rasilimali Watu katika sekta ya Umma uliofanyika katika Ukumbi wa Simba kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), November 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimikiliza wa Rasilimali Watu na Utawala Wa PSSF, Paul Kijazi alipotembelea banda la maonesho la PSSF alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katikaUfunguzi wa Mkutano wa Tisa wa Mwaka wa Mtandao wa Wasimamizi wa Memeneja wa Rasilimali Watu katika sekta ya umma uliofanyika katika Ukumbi wa Simba kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), November 4, 2024.
November 04, 2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsiliza Afisa wa UTT, Martha Mashiku alipotembelea banda la maonesho la UTT alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Mkutano wa Tisa wa Mwaka wa Mtandao wa Wasimamizi wa Memeneja wa Rasilimali Watu katika sekta ya Umma uliofanyika katika Ukumbi wa Simba kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), November 4, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akipata maelezo kutoka kwa Ofisa wa NSSF, Festo Mwakahesya alipotembelea banda la manesho la NSSF alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katikaUfunguzi wa Mkutano wa Tisa wa Mwaka wa Mtandao wa Wasimamizi wa Memeneja wa Rasilimali Watu katika sekta ya Umma uliofanyika katika Ukumbi wa Simba kwenye Kituo cha mikutano cha kimataifa Arusha (AICC), November 4, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali wakishiriki kuimba Wimbo wa Taifa alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Mkutano wa Tisa wa Mwaka wa Mtandao wa Wasimamizi wa Memeneja wa Rasilimali Watu katika sekta ya Umma uliofanyika katika Ukumbi wa Simba kwenye Kituo cha mikutano cha kimataifa Arusha (AICC), November 4, 2024.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment