Kamishna wa Kodi za ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alfred Mregi (aliyemwakilisha Kamishna Mkuu wa TRA, Yussuph Mwenda), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Kodi wa Kampuni ya Mahesabu na Ushauri wa Kodi ya EY Tanzania uliowakutanisha Wadau wa Kodi kutoka serikalini na sekta binafsi ili kuwajengea uwezo katika masuala mbalimbali ya Kodi, uliofanyika leo jijini Arusha. Mkutano huo Mwaka unawajengea uwezo wafanyakazi wa makampuni na mashirika ya Serikali na binafsi kuyafahamu vyema masuala ya kodi na namna ya kuyatekeleza. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mshauri wa Masuala ya Kodi wa Kampuni ya EY Tanzania, Beatrice Melkiory, Mkuu wa Kitengo cha Kodi wa Kampuni ya EY, Donald Nsanyiwa, pamoja na Meneja wa Mamlaka ya Mapato mkoa wa Arusha, Eva Raphael.
Kamishna wa Kodi za ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alfred Mrengi akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Kodi wa Kampuni ya Mahesabu na Ushauri wa Kodi ya EY Tanzania uliowakutanisha Wadau wa Kodi kutoka serikalini na sekta binafsi ili kuwajengea uwezo katika masuala mbalimbali ya Kodi, uliofanyika leo jijini Arusha.
Mkuu wa Kitengo cha Kodi wa Kampuni ya EY, Donald Nsanyiwa (ambayo ndio waratibu wa Mkutano huo) akizungumza wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Kodi wa Kampuni ya Mahesabu na Ushauri wa Kodi ya EY Tanzania uliowakutanisha Wadau wa Kodi kutoka serikalini na sekta binafsi ili kuwajengea uwezo katika masuala mbalimbali ya Kodi, uliofanyika leo jijini Arusha.
Mkuu wa Kitengo cha Kodi wa Kampuni ya EY, Donald Nsanyiwa akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mwaka wa Kodi wa Kampuni ya Mahesabu na Ushauri wa Kodi ya EY Tanzania uliowakutanisha Wadau wa Kodi kutoka serikalini na sekta binafsi ili kuwajengea uwezo katika masuala mbalimbali ya Kodi, uliofanyika leo jijini Arusha.
Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Kodi kutoka makampuni na mashirika ya Serikali na binafsi wakifatilia kwa makini Mkutano.
Picha ya Pamoja.
No comments:
Post a Comment