October 11, 2024

WANANCHI WAMIMINIKA KWENYE BANDA LA DIB MAONESHO YA MADINI GEITA

Afisa kutoka Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Careen Max (kulia), akikabidhi zawadi kwa mmoja wa wananchi  waliotembelea katika Banda la Bodi hiyo kwenye maonesho ya saba ya Teknolojia katika Sekta ya Madini yanayoendelea kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mkoani Geita Leo Oktoba 11, 2024.
DIB inashiriki  katika maonesho hayo na imeendelea kutoa elimu kwa wananchi ili wafahamu majukumu na kazi wanazofanya kwa mujibu wa sheria.
Afisa kutoka Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Careen Max (kushoto), akikabidhi vipeperushi vyenye maelezo ya taarifa mbalimbali kuhusu DIB kwa wananchi  waliotembelea katika Banda la Bodi hiyo kwenye maonesho ya saba ya Teknolojia katika Sekta ya Madini yanayoendelea kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mkoani Geita Leo Oktoba 11, 2024.
Wananchi waliotembelea katika banda la DIB wakisaini kitabu cha wageni. 
Mmoja wa wananchi waliotenbelea katika banda hilo akiuliza baadhi ya maswali kwa Afisa kutoka Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Careen Max ili kupata ufafanuzi. 

No comments:

Post a Comment