RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuzindua Kampeni ya Uzazi ni Maisha, hafla hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Amref Tanzania Anthony Chamungwana na Mkurugenzi Mkaazi wa Amref Tanzania Dkt. Florence Temu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuzindua Kampeni ya Uzazi ni Maisha, hafla hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Amref Tanzania Anthony Chamungwana na Mkurugenzi Mkaazi wa Amref Tanzania Dkt. Florence Temu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uzazi ni Maisha inayoendeshwa na Amref Tanzania na Wizara ya Afya Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uzazi ni Maisha inayoendeshwa na Amref Tanzania na Wizara ya Afya Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizungua kampeni hiyo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata akimsikiliza Mkurugenzi Mkaazi wa Amref Tanzania Dkt. Flirence Temu (kushoto kwa Rais) wakati akitembelea gari maalumu la kuhudumia wagonjwa,lililotolewa na Amref Tanzania kwa Wizara ya Afya, wakati wa hafla ya kuzindua Kampeni ya Uzazi ni Maisha uliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Amref Tanzania Anthony Chamungwana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata akimsikiliza kutoka kwa Muungazi Asha Ramadhan Said, alipotembelea gari maalumu la kuhudumia wagonjwa,lililotolewa na Amref Tanzania kwa Wizara ya Afya, wakati wa hafla ya kuzindua Kampeni ya Uzazi ni Maisha uliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkurugezi Mkaazi wa Amref Tanzania Dkt. Florence Temu na (Kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Amref Tanzania Anthony Chamungwana na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uzazi ni Maisha inayoendeshwa na Amref Tanzania na Wizara ya Afya Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uzazi ni Maisha inayoendeshwa na Amref Tanzania na Wizara ya Afya Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizungua kampeni hiyo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uzazi ni Maisha inayoendeshwa na Amref Tanzania na Wizara ya Afya Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Uzazi ni Maisha inayoendeshwa na Amref Tanzania na Wizara ya Afya Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuizungua kampeni hiyo katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment