September 01, 2024

MWENYEKITI WA CCM TAIFA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.




No comments:

Post a Comment