July 31, 2024

WAZIRI MKUU AHANI MSIBA WA MAMA MZAZI WA MHE. HALIMA MDEE



Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Leo Julai 31, 2024 amehani msiba wa Theresia Mdee ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Halima Mdee, nyumbani kwa Mheshimiwa Halima Mdee Area D, jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment