July 15, 2024

MWENGE WA UHURU WAWASILI HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI.





Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo ameshiriki Mbio za Mwenge wa Uhuru.

Mbio hizo ambazo zinaongozwa na Kiongozi wa Kitaifa Godfrey Mnzava, zimeanza leo Julai 15, 2024 ambapo utakagua miradi mbalimbali ya Maendeleo.

Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2024 zimebebwa na Kauli Mbiu isemayo;- _*Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa endelevu._







No comments:

Post a Comment