Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba
akizungumza masuala mbalimbali kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu
Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan aliyofanya New Delhi nchini India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari
umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India katika sekta ya Maji. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili (Mloganzila) Dkt. Godlove Mfuko akizungumzia faida watakazozipata katika
Sekta ya Afya kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India. Mkutano huo na Waandishi
wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India katika sekta ya Kilimo. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India katika sekta ya Afya. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.

Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili (Mloganzila) Dkt. Godlove Mfuko akizungumzia faida watakazozipata katika
Sekta ya Afya kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India. Mkutano huo na Waandishi
wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India katika sekta ya Kilimo. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza kwenye Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya New Delhi nchini India katika sekta ya Afya. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Mkurugenzi wa
Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na kuwaelezea Waandishi wa
Habari kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India.
Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe
12 Oktoba, 2023.

Viongozi mbalimbali pamoja na Waandishi wa Habari wakiwa kwenye Mkutano wa kuelezea kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Waandishi kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari nchini wakiwa kwenye Mkutano wa kuelezea kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa kuelezea kuhusu Mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India. Mkutano huo na Waandishi wa Habari umefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023.




.jpg)






No comments:
Post a Comment