Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 7, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. Katikati ni Mbunge wa Mikumi, Dennis Londo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale kwenye viwanja via Bunge jijini Dodoma, Septemba 7, 2023.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 7, 2023.








0 comments:
Post a Comment