August 02, 2022

RAIS AMTEUA WAZIRI WA ZAMANI WA FEDHA, ZAKHIA HAMDAN MEGHJI

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Zakhia Hamdan Meghji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kwa kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment