July 11, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na akamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini Mashariki, Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na akamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini Mashariki, Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na akamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini Mashariki, Bi. Victoria Kwakwa mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2022.

No comments:

Post a Comment