Fatma Abubakar Mwasa.
A) WAKUU WA MIKOA WAPYA:
1.Nurdin Hassan Babu –
Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido
mkoani Arusha.
2.Fatma Abubakar Mwasa –
Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
3. Halima Omari Dendego –
Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
7. Kanali Laban Elias
Thomas – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya
Nyasa mkoani Ruvuma.
8.Albert John Chalamila
– Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera
9. Dkt. Yahaya Esmail
Nawanda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya
Tabora mkoani Tabora.
B) WALIOHAMISHWA VITUO VYA KAZI:
1. Anthony John Mtaka – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
1. Anthony John Mtaka – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
2. Queen Cuthbert Sendiga
– Amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
3. Waziri Waziri Kindamba
– Amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
4. Martin Reuben Shigella
– Amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
5. Omary Tebweta Mgumba –
Amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.
6. Adam Kigoma Malima –
Amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
7. Rosemary Staki Senyamule
– Amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita.
C) AMBAO WANAENDELEA NA VITUO VYA KAZI:
1. Amos Gabriel Makalla – Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
1. Amos Gabriel Makalla – Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
2. John Vianney Mongella
– Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
3. Mwanamvua Hoza
Mrindoko – Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
4. Charles Makongoro
Nyerere – Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
5. Zainab Rajab Telack -
Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
6. Juma Zuberi Homera -
Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
7. Thobias Emir
Andengenye - Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
8. Sophia Edward Mjema -
Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
9. Balozi Batilda Salha
Burian - Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
10. Abubakar Mussa Kunenge
- Anaendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Uapisho utafanyika Ikulu Chamwino,
Dodoma tarehe 1, Agosti, 2022.
Zuhura
Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
No comments:
Post a Comment