🔴TANZIA: Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki Dunia Jijini Dar Es salaam leo Agosti 2,2021 alipokuwa akipatiwa matibabu.
Katibu wa Mbunge huyo, Julius Lugobi amethibitisha kutokea kwa msiba huo.
Tutawaletea taarifa zaidi juu ya msiba huu mzito.

No comments:
Post a Comment