Nafasi Ya Matangazo

August 30, 2021

 
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Agosti 30, 2021

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akichangia jambo wakati  kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Agosti 30, 2021, kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Prof. Aderladus Kilangi    

Wajumbe wa kamati ya uongozi wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Agosti 30, 2021(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kupitisha hati ya dharura na kujadili Shughuli za Mkutano wa Nne wa Bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya Mkutano kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma, Agosti 30, 2021
Posted by MROKI On Monday, August 30, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo