August 26, 2021

RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATEULE WA NCHI MBALIMBALI HAPA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Nigeria hapa nchini Mhe. Hamisu Umar Takalmawa mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa India hapa nchini Mhe. Binaya Srikanta Pradhan, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Nigeria hapa nchini Mhe. Wiebe Jokob De Boer, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Burkina Faso hapa nchini mwenye makazo yake Nchini Kenya Mhe. Madina Diaby Kassamba Ganou, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Guinea hapa nchini mwenye Makazi yake Nchini Addis Ababa, Ethiopia  Mhe. Gaussou Toure, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment