Nafasi Ya Matangazo

August 13, 2021

Jengo la Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma linalojengwa na SUMA JKT ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Agosti 13, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi na  Uchukuzi  Dkt. Leonard Chamuriho. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu  ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa SUMA JKT baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021.
Posted by MROKI On Friday, August 13, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo