Nafasi Ya Matangazo

August 08, 2021

Ujumbe wa Wanafunzi, Walimu na Wafanyakazi wa Chuo cha Teknolojia Cha Dar es Salaam (DIT) walio kwenye ziara Katika Halmashauri ya Chalinze, watembelea Shule ya Sekondari ya Kiwangwa kuzungumza na Wanafunzi na Kuwapa pole kwa ajali ya Moto iliyounguza Bweni la Wasichana.  Wakiwa shuleni hapo wameona pia ujenzi wa Bweni Jipya, wamegawa masweta, na kuwapa moyo wa kusoma sayansi.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete (wapili Kulia) aliambatana na ugeni huo shuleni hapo.
Msingi wa BWENI jipya ukiendelea kujengwa.
Wanafunzi, Walimu na Wafanyakazi wa Chuo cha Teknolojia Cha Dar es Salaam (DIT) wakiangalia ujenzi wa msingi wa bweni jipya.
Ugeni huo wa 
Wanafunzi, Walimu na Wafanyakazi wa Chuo cha Teknolojia Cha Dar es Salaam (DIT) wakipewa maelezo ya mradi huo. 

Posted by MROKI On Sunday, August 08, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo